|
|
Created by Swahili Chap Chap
about 6 years ago
|
|
| Question | Answer |
| Nina kiu / Nina kiu sana! | I am thirsty / I am very thirsty! |
| Nasikia kiu / Nasikia kiu sana! | I am thirsty / I am very thirsty! |
| Tafadhali nipatie maji ya kunywa. | Get me some water, please. |
| Tafadhali niletee maji ya kunywa. | Bring me some water, please. |
| Tafadhali nipatie kinywaji baridi. | Get me a cold drink, please. |
| Tafadhali niletee kiburudisho. | Bring me some refreshment, please. |
| Nina njaa / Nina njaa sana! | I am hungry / I am very hungry! |
| Nasikia njaa / Nasikia njaa sana! | I am hungry / I am very hungry! |
| Tafadhali nipatie chakula. | Get me some food, please. |
| Tafadhali niletee chakula moto. | Bring me some hot food, please. |
| Kichwa kinaniuma. | I have got headache |
| Unazo dawa za kichwa? | Do you have headache medicine? |
| Tafadhali nipatie dawa. | Get me some medicine, please! |
| Naweza kutumia choo, tafadhali? | May I use the restroom/toilet, please? |
| Tafadhali nipatie chenji. | Get me some change, please. |
| Ninataka kwenda hospitali. | I would like to go to hospital. |
| Unaweza kunipeleka hospitali, tafadhali? | Could you take me to hospital, please? |
| Nipunguzie bei, tafadhali. Mimi rafiki yako. | Give me some discount, please. I’m your friend. |
Want to create your own Flashcards for free with GoConqr? Learn more.